Majogoo kuwika saa tatu usiku

Itakuwa Delicious anapita nje ya nyumba yako tatu usiku tu. hakuna namna nyengine
 
Huu uzi umepoteza maana kabisa Na hii Ni kutoka Na vijana wengi kuwa Na stress za maisha hasa ajira, yeuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiee auwiiiiiiiiiiiii
 
nadhani mazingira yanachangia, mjini kila kona kuna taa zinawaka sasa jogoo akiona ule mwanga anajua ndo panakucha anaanza kuwika...tofauti na kijijini ambapo akishaingia ndani hakuna mwanga wowote hadi kupambazuke
 
Na hata YESU alisema atasalitiwa kabla ya jogoo kuwika akiwa na maana kabla ya alfajiri.
 
Hii mada imenichekesha sana, watu wana majibu ya ajabu ajabu kweli. Nimecheka sana.
 
Siku hizi imekuwa kawaida hasa majogoo ya mjini kuanza kuwika saa tatu au saa nne usiku.nini maoni yako kwa hilo
ni mabadiliko tu mkuu, mengi yamebadilika... siku hizi hata wanaume wanaotegemea wanawake wameongezeka, wanawake wanaooa wenzao kibao achilia mbali mashoga

Dunia inabadilika, kuwika kwa kuku kutakua kama kujamba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…