Majizi haya yanaweza kuuwa kweli

Majizi haya yanaweza kuuwa kweli

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
6,750
Reaction score
14,495
Wote tunakubaliana MaCCM yote ni majizi.

Lakini mijizi ifuatayo Nape Nnauye, Dotto Bitiko, Innocent Bashungwa, Selemani Jaffo, Hussein Bashe, January Makamba na Ummy Mwalimu.

Sidhani kati yetu kama kuna mtu hiyo mijizi hipo tayari kuuwa ilimradi, iendelee kuiba. Ndio hao watu ni wadokozi lakini roho mbaya hapana hata kwa unafiki wao wa hadharani,

Maana yake nini, tunajua MaCCM na asilimia kubwa ya civil servants ni majizi; na hakuna tunachoweza fanya kuzuia kutokana powers mlizonazo.

Sasa kwanini mteke na kuuwa powerless ambao hawawezi wafanya lolote. Hapa ndio ugomvi wetu ulipo na mamlaka. Kwanini mtuteke defenceless people na kutuuwa.

Si muibe tu.
 
Back
Top Bottom