Hii ndo shida kuanza mapenzi ukubwani...dude habari hii ni ya kueleza watu wazima kweli? Kisha unajiita mtumishi serikalini? Serikali hii hii? Kweli tunahitaji kufanya mabadiliko makubwa mwaka huu!
Hii ndo shida kuanza mapenzi ukubwani...dude habari hii ni ya kueleza watu wazima kweli? Kisha unajiita mtumishi serikalini? Serikali hii hii? Kweli tunahitaji kufanya mabadiliko makubwa mwaka huu!
Very Simple, akipendeza mwenye dukani atahisi anaibiwa hela dukani kwake.
Kumuoa hapana mimi ni ke
watu wa hivyo huwa washirikina tu sana
ww ndo umepatia ukute mashart hayo
Kumuoa hapana mimi ni ke
Kazi unayo kwakweli, sipati picha unavyokuwa katika wakati mgumu kila anapokutembelea
Ila nataka kodi ikiisha nihame. Maana mambo ya kufuatilia wageni wa mtu sio vizuri
ww mfanyakazi wa serikali gani? ww ni mwl.?
Ni PM TUONGEE VIZURI