King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,293
- 2,739
Hivi mpaka leo nafikiri yameishatumbuliwa majipu si chini ya 100 ndani ya miezi 3. Je kwa mwaka yatakuwa zaidi ya 1200. Na ndani ya miaka 5 yatakuwa 6000. Je taratibu ya kupeleka mahakamani vipi? Angalia halo majipu yasije yakashinda kesi itakuwa balaa!!!!!!!!!!!!!