Hawa wajinga bora wakawachezee wake zao kuliko kutuchezea wanaume wenzao afu haya ni maisha yetu wao wanayageuza football ground kwanza hata waliopata post hawajajulishwa kwenye profle wanaenda wap kaz wanapewa kutafta majina kwenye vyuo walivyoviomba na unakuta majina yenyew hayana mpangilio mzur[emoji16] [emoji16]