Majipu TCU lini yatumbuliwe?

hv ilo tangazo la TCU kutoa tarh 5 mmeliona wapi? source please
 
yaaan waha TCU NA NACTE wamenifanya nitegeshe alarm saa 6.....wajinga sana hawa watu
 
yaaan hawa TCU NA NACTE wamenifanya nitegeshe alarm saa 6.....wajinga sana hawa watu
 
Tarehe tano inaisha saa 5:59 usiku tusubiri ikipita muda huo kwel itakuwa shida. TUWE WAVUMILIVU.
 
Ngoja ngoja yaumiza matumbo, haka kausemi kamechukua nafasi yake.
 
Kwani mliambiwa post zinatoka Leo??
sasa kama wao hawajasema unafikili tutafanyeje.....ndio kama hivi tuna jipangia siku na saa tunajifaliji siku inakwenda...kuliko kukaa kimya kama wafu..
 
Mbona Mnaharaka Mumeambiwa Post Zenu Zitatoka At Time t kimwendokasi zaidi
 
Wale mnaosema saa sita mchana mungu anawaona saiz naiweka coment ni 12:51pm ila mbona bado jaman au nyie ndio mawakala wa unyanyasaji na upetezaj wa mda na wakichelewa leo kesho naanza safar ya kuwafuata huko kwao mi mlokole ila wanasabisha natukana na ni wasen.......ge!
 
Tanzania kila kitu kinafanywa kienyejienyeji na kimazoea tu
Poleni masela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…