Isanga family JF-Expert Member Feb 25, 2015 16,445 31,366 May 8, 2016 #3 Takukuru haina meno ni kama joka la kibisa tuu...
HORSE POWER JF-Expert Member Feb 22, 2015 2,212 1,552 May 8, 2016 #4 Ngoja tuone hii PCCB ya utawala wa JPM maana utendaji wa taasisi hii unategemea sana 'political will and commitment' ya mkuu wa nchi.
Ngoja tuone hii PCCB ya utawala wa JPM maana utendaji wa taasisi hii unategemea sana 'political will and commitment' ya mkuu wa nchi.