Majina yanaposomwa Kinyume Nyume

Majina yanaposomwa Kinyume Nyume

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,351
Reaction score
13,140
Last edited by a moderator:
Majina yote ni id za wana jf isipokuwa jina moja lengo lako ni nini!?
 
Nyani Ngabu - Bunga Ninya
Zitto kabwe - Bweka ttozi kazi ya kubweka inamfit sana
afrodenzi - inzi de rofa
MTAZAMO - Moza Tam
masai dada - Dada isama
TEMBO WANGU - Nguwa mbote
Husninyo
Mtambuzi - Mbuzimtam huyu akianzisha biashara za Mbuzi kawini
nitonye - Nyeto in huyu anaweza kufungua Hotel akalipa jina hilo
Bujibuji - Jibujibu - Ndio maana huwa anajibu sana watu
asakuta same - Mesa takusaa
Heko kwa ubunifu mtoa mada ila utaniwia radhi kumwomba INNOVATOR ahamishie thread hii kule jokes!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom