Tuwe makini katika kuwapa watoto majina, kwani zipo roho zinaambatana na majina.
Kwa nini umwite mwanao jina la mtu mwingine wa zamani? atachukua jina na tabia za huyo
mtu. wazazi ndio wenye maamuzi ya mwisho kumpa mtoto jina.Na kwa ushauri wangu wazazi
tuwe na tabia ya kuwapa majina watoto wetu ya kwao wenyewe yaani tupange sisi wazazi si
kurithisha majina ya watu wengine watoto.
Mtoto/watoto wangu majina naamua mimi. Hamna cha shangazi, babu, bibi, mjomba wala binamu. Wao wakti wao ulikuwepo , majina yao yalifahamika kama yao na mtoto nae awe na jina lake badala ya kuwa kivuli cha waliokwisha kufa ama kuzeeka.
Bahati nzuri hata kwetu ndivyo ilivyo. . .kila mtu na jina lake. Majina ya wazee yapo kinyumbani zaidi.
Kinyumbani zaidi ina maana gani?

Maana yale tunaitana nyumbani pekee/ndani ya familia kwa wale tuliyonayo.
Yaani uwe na jina la ndani ya ukoo ila kutoka nalo nje unaona aibu!
Ndio kuwapa watu wa nje thamani kuliko familia tu.
Mtu yupo radhi mtoto aitwe faith, happiness, rose lakini si yenye maana hiyo hiyo kwa Kiswahili!
Mtu anataka mtoto aitwe Hilarry lakini si Bhoke
Tunajishusha sana bila ya sababu za msingi

Sidhani kama ni aibu. Baadhi yetu tuna majina ya ndani ambayo yanajulikana zaidi kwa wanafamilia kuliko watu wa nje. Hii ni kawaida sana na aibu haihusiki hata kidogo!
Kama yangekua ni aibu hata ndani ya familia tusingependa yakitumiwa. Binafsi napenda langu litumike na wale watu wangu wa karibu, wanaonijua haswa na sio kila mtu kwasababu then linakuwa la kawaida kama lile nnalotumia kila mahali.Sidhani kama ni aibu. Baadhi yetu tuna majina ya ndani ambayo yanajulikana zaidi kwa wanafamilia kuliko watu wa nje. Hii ni kawaida sana na aibu haihusiki hata kidogo!
Nani aliyeongelea aibu?
Ila ni kitu gani?
Na hayo majina mawili yanatofauti gani?
Kama yangekua ni aibu hata ndani ya familia tusingependa yakitumiwa. Binafsi napenda langu litumike na wale watu wangu wa karibu, wanaonijua haswa na sio kila mtu kwasababu then linakuwa la kawaida kama lile nnalotumia kila mahali.
Binafsi napenda langu litumike na wale watu wangu wa karibu, wanaonijua haswa na sio kila mtu kwasababu then linakuwa la kawaida kama lile nnalotumia kila mahali.
wakti wao ulikuwepo , majina yao yalifahamika kama yao na mtoto nae awe na jina lake badala ya kuwa kivuli cha waliokwisha kufa ama kuzeeka.