Ndio lugha inayotumika- vifaranga. Kwa kiingereza wanaita fish fingerlings or seed kwa samaki hawa wa kawaida. Ikiwa prawns watasema postlarvae na itabadilika kutokana na aina ya samaki.Kuna ripoti fulani nilikuwa nasoma nikakutana na neno "vifaranga" ikimaanisha samaki wachanga. Ni sawa samaki wachanga kuitwa vifaranga? Naomba michango yenu.
Kuna ripoti fulani nilikuwa nasoma nikakutana na neno "vifaranga" ikimaanisha samaki wachanga. Ni sawa samaki wachanga kuitwa vifaranga? Naomba michango yenu.
Kifaranga ni mtoto wa kuku/bata/ndege kwa ufupi viumbe jamii ya ndege watoto wao wanaitwa vifanga,vinaanguliwa kutoka kwenye mayai.
Ndama ni mtoto wa ngo'mbe
Mtoto wa samaki anaitwa mtoto wa samaki
Mtoto wa mbwa anaitwa mtoto wa mbwa
Mtoto wa binadamu anaitwa mtoto wa binadamu
Hicho ndio kiswahili
Ndio lugha inayotumika- vifaranga. Kwa kiingereza wanaita fish fingerlings or seed kwa samaki hawa wa kawaida. Ikiwa prawns watasema postlarvae na itabadilika kutokana na aina ya samaki.
Mkuu mtoto wa kibua anaitwaje?
Na kinda utaelezeaje?
Sent from my GT-P7500 using Tapatalk HD
Na mtoto wa kitimoto anaitwaje?
Kifaranga ni mtoto wa kuku/bata/ndege kwa ufupi viumbe jamii ya ndege watoto wao wanaitwa vifanga,vinaanguliwa kutoka kwenye mayai.
Ndama ni mtoto wa ngo'mbe
Mtoto wa samaki anaitwa mtoto wa samaki
Mtoto wa mbwa anaitwa mtoto wa mbwa
Mtoto wa binadamu anaitwa mtoto wa binadamu
Hicho ndio kiswahili
Kinda ni hatua ya pili ya kifaranga katika ukuaji,hapa some how ana uwezo wa kujitambua/nakujisaidia sio helpless kama alipokuwa kifaranga.Kinda la ndege
mtoto wa ndege anaitwa kinda
asante kaka
Nilifikiri anaitwa dagaa
Kinda ni hatua ya pili ya kifaranga katika ukuaji,hapa some how ana uwezo wa kujitambua/nakujisaidia sio helpless kama alipokuwa kifaranga.
Dagaa ni samaki mbilikimo bwana sio mtoto.....
Mmmh na mtoto wa kuku tumwite kikuku, wa bata kibata.Mtoto wa mbwa anaitwa mtoto wa mbwa-kijibwa
Mtoto wa binadamu anaitwa mtoto wa binadamu-mwana/kichanga