Majina ya wanafunzi kupitia nacte 2015/2016

ajam ally

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
28
Reaction score
5
Dear NACTE

Ni matumaini yangu mu wazima na mungu anaendelea kuwapa afya ya kutosha ili kuweza kulitumia taifa letu TANZANIA. Mnamo mwezi April mwaka 2015 mlifungua rasmi maombi kwa watanzania wenye sifa mbalimbali ili waweze kutafuta nafasi mbalimbali kwaajili ya kuongeza elimu zao za juu.

Toka tangazo rasmi litoke mpaka leo hii imepita miezi 6, Tunakumbuka mlitoa nafasi kwa watanzania wenzetu walokosea kufanya taratibu za maombi na mwisho ni tarehe 16. Lakini sasa kwa wale ambao hawajakosea kitu chochote mpaka leo hawajui wapo upande gani??? maana maswali ni mengi mtu anajiuliza kwanini hakuna matokeo ya mwanzo?? ukizingatia mmetangaza vyuo vitafunguliwa kuanzia tarehe 9, na kuna baadhi vitafunguliwa kabla ya tarehe 9.
Nacte tunaomba sisi kama watanzania wenzenu wenye moyo thabiti wa kuja kulijenga taifa letu baadae muweze kututolea hayo matokeo ya awali ili tuweze kuwaandaa wadogo zetu, watoto wetu pamoja na familia zetu, kwani muda umeshaenda sana na kuna mambo mengi ya kufanya ili watoto waende chuoni. Namaanisha "KUCHAGULIWA KATIKA CHUO NI JAMBO MOJA NA MAANDALIZI YA KWENDA CHUO HUSIKA NI JAMBO JENGINE"

Nimatumaini yangu ujumbe wangu utaupata na utaufanyia kazi,

AHSANTE

Wako katika kulijenga Taifa TANZANIA
MTANZANIA.
 
NACTE Jaman elewen bac ujumbe huo tunaumia wenzenu kwa mawazo.
 
Naamini NACTE wangeipata hii text, basi leo hii selection zingetoka,,,
Ni ukweli kabisa kupata chuo ni jambo moja, na maandalizi ya Ada ni swala lingine, sabab sio kozi zote zinazopatiwa mkopo,, ukizingatia muda uliobaki kufungua vyuo, ni dhahiri watu wako dilemma
 
wakuu tafuteni majina yenu kwenye vyuo mlivyoomba. wengi mmeshachaguliwa ila hamfahamu. au ingiza jina lako Google then search.
 
Nilienda Nacte kuuliza juu ya swala hili lkn wamesema majina yetu yatakua selected kutoka profile, hivyo bc majina yaliyopo ni Tcu, Nacte bado
 
ndugu anasema mkuu hapo ni kweli majina yanayotoka na wa nacte wamo me rafki zangu nimesoma nao wameisha chaguliwa au angalia majina waliotoa must jana na wa nacte wamo ivyo ni vizuri kuangalia hayo majina
 
Ni kweli msubirie nacte watoe majina unaweza kujipa moyo umepangowa hapo ila ya nacte yskitoka utashangaa upo chuo kingine kwa hiyo subirini tuu wakamilishe mchakato mzima
 
Mm naona itakuwa baada ya tarehe 16 kwani hata maombi yao mwisho ni huo
 
Back
Top Bottom