Kama kuna members wanao judge Username ya member imefananaje!
Basi itakuwepo shughuli.
Mf. Humu kuna member anaitwa Boro !
Huyu mtamhukumuje?
Mimi sijui .
Me User Name yangu niliipenda kwa jinsi nilivyo,
kwani nimekaa Kimadame-madame!!
Na wa Moyo wangu anapenda sana Dread na swaga zangu.
ma username mengine kama hili KIJAMBIO sijui mamtu yanafikiliaje mpaka kujiita hivi
Msalimie sana, maana ana akili kama yangu. Good Madame B.Na wa Moyo wangu anapenda sana Dread na swaga zangu.