mkubwa hizi kada nyingine mpaka waje kumaliza na kuita watu kazini nadhani hadi mwakani januar au mid feb mana hapo watu wa admin post waliofanya written exams bado kuitwa kwa ajili ya oral...watu wa kada ya afya kwenye kutibu walifanya oral interview mwanzoni mwa mwezi huu mpaka leo hawajapewa majibu na inaonekana mpaka kada zote zifanye usaili ndipo alla applicants wataitwa kwenda kusakgn mkataba so hapa hadi mwakani vijana wangu