Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Chuo Cha Afya-(College of Health Sciences) -UDOM


Y

ynyend1

Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
74
Points
0
Y

ynyend1

Member
Joined Nov 19, 2012
74 0
kada nyingine tuendelee kuwa wavumilivu...may be tommorrow we can hear for academic posts interview...
 
X

xiande

Member
Joined
Oct 3, 2012
Messages
90
Points
0
X

xiande

Member
Joined Oct 3, 2012
90 0
mkubwa hizi kada nyingine mpaka waje kumaliza na kuita watu kazini nadhani hadi mwakani januar au mid feb mana hapo watu wa admin post waliofanya written exams bado kuitwa kwa ajili ya oral...watu wa kada ya afya kwenye kutibu walifanya oral interview mwanzoni mwa mwezi huu mpaka leo hawajapewa majibu na inaonekana mpaka kada zote zifanye usaili ndipo alla applicants wataitwa kwenda kusakgn mkataba so hapa hadi mwakani vijana wangu
 

Forum statistics

Threads 1,295,847
Members 498,410
Posts 31,225,258
Top