kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Wako fastaWakuu majina ya waliiofaulu kwenye usaili wa kazi ya SENSA 2022 yameanza kutolewa. Hapa tutakuwa tunapeana updates kutoka maeneo kadha wa kadha kadri yanavyotolewa. Nikebahatika kuona picha ya orodha ya majina kutoka Tandahimba Mtwara huko kupitia chanzo cha mtandao wa kijamii Telegram ya assenga.online.com.View attachment 2301158
Sana aiseeWako fasta
Nadhani hiyo ni kata ya tandahimba pekeeHalmashauri nzima watu 65 dahh huu ni upuuzi sasa
Balaa ni kubwa mnoNadhani hiyo ni kata ya tandahimba pekee
Labda wanatoa kotekote mkuu, acha tusubiri tuKwa hali hii hakuna cha NBS mambo yote katani
🤣🤣🤣 mkuu umenenaHalmashauri nzima watu 65 dahh huu ni upuuzi sasa
Haya majina ni ya makarani au Tehama?Wakuu majina ya waliiofaulu kwenye usaili wa kazi ya SENSA 2022 yameanza kutolewa. Hapa tutakuwa tunapeana updates kutoka maeneo kadha wa kadha kadri yanavyotolewa. Nikebahatika kuona picha ya orodha ya majina kutoka Tandahimba Mtwara huko kupitia chanzo cha mtandao wa kijamii Telegram ya assenga.online.com.View attachment 2301158
MakaraniHaya majina ni ya makarani au Tehama?
Wangapi kufanyeje mkuu? [emoji3]Wa CCM wwangapi?
Majina yao kutoka 😂Wangapi kufanyeje mkuu? [emoji3]
Kwani nawao walikuwa usaili wa sensa yao?Majina yao kutoka [emoji23]
Subira yavuta heriLabda wanatoa kotekote mkuu, acha tusubiri tu
Yameandikwa kwa mkono? Duh hata kuprint imeshindikana 🤔