Chuo cha Maji
Member
- May 4, 2017
- 54
- 34
Habari za Maisha.
Chuo cha Maji kinaendelea kupokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa ngazi ya Certificate, Diploma na Degree hadi Tarehe 30 August 2017.
Kwa sasa Batch ya kwanza ya wanafunzi waliofanikiwa kujiunga na Chuo hiki imetoka na unaweza kupakua list katika website ya Chuo au katika file lililoambatanishwa hapa chini.
Vilevile maombi ya Mkopo kwa wanafunzi wanaotaka kuja kusoma certificate au diploma na wale wanaoendelea kusoma Diploma Chuo cha Maji bado yanapokelewa hadi tarehe 30 August 2017.
Asanteni sana.