Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Hapo sawa wachaga watupu verygood
Wachaga mwanzo mwisho tena wakristo.
Tumia hata macho kufikiria kama akili hazijaamka. Lawama na kukosa kwingine kunakudhalillisha wewe na waliochangia katika kukua kwako. Kwa hiyo wewe ulitaka kina Kamugisha, Mwakingwe, Shiguna, Mwijuma, Mapunda na Kina Segito waende kuwa local leaders Moshi? Kama huna hoja ni bora kuduwaa kulilko kujidhalilisha na ushupavu!.
M/Kiti Godlisten Malamia,
Katibu Cyprian Minja,
Mwenezi Deo Mushi,
MhazinI Evans Mmasi,
Mjumbe mkutano mkuu Taifa Lucy Owenyi
Magamba endeleeni kutoa povu! m/kiti bavicha Emanuel Nyaki,katibu Wilhad Kitaly,uenezi Sulus Malya,mhazini Harun Munga
Hapo sawa wachaga watupu verygood
SACCOS yetu Wachaga.
Safi sana.
Wachaga mwanzo mwisho tena wakristo.
Wachaga mwanzo mwisho tena wakristo.
Kwa nini waislam hawapendwi chadema?
Elimu yako ya madrasa ulioipata haiwezi kukusaidia wewe.