Majina ya vidole

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,681
13,107
Baada ya kugogo na kuuliza baadhi ya masheikh,mapadre,mawalii,masister na wagema ulimbo mbalimbali,haya ndio majibu walionipa kuhusu majina ya vidole vya mikono karibia asilimia 99.9% walishindwa kunijibu kuhusu majina ya vidole vya miguu,kama unajua naomba ushee nami.
Haya ni majina ya vidole vya mikono.
1.dole gumba
2.kidole cha shahada
3.kidole cha ma tu si
4.kidole cha pete
5.kidole cha sunna
Je? vidole vya miguu vinaitwaje.
Nalog off
 

Kama vya mikononi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…