Jamani mimi ni mgeni nauliza, kwani anayejibia hoja ya uhamisho huyu ni nani? Kwani humu mhusika yupo maana sasa watu hatujielewi kama tunahamishwa au laa, unaweza tumia nauli kwa kuona uhamisho umeahirishwa mara ghafla ukatoka sasa tueleweshwe lini hasaaa!