Juzi juzi niliona kwenye habari ya kijiji kinachoitwa Ki-nyeto katika mkoa wa Singida halafu nikakumbuka kuwa kuna thread fulani humu inayozungumzia shule ya msingi Senge ya huko huko Singida.
Pengine waanzilishi wa kijiji hicho walikuwa wanaenda kwa mwendo wa ki-nyeto nyeto!