Majina ya kikwetu

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
VIPI wakuu,leo nataka tuangalia majina halisi ya kibantu na maana zake na anza na ya kikwetu
KAJIRU....CHEUSI
NAIBWE...huyu alizaliwa juu ya mawe akapewa hili jina
NAISHITU...Mtoto wa kike alie zaliwa porini
KITHAKA...mtoto wa kiume alie zaliwa msituni
THEDHIA na NADHIA...watoto walio zaliwa barabarani
..............embu na wewe tupia ya kwenu...
 
Hayo majina dizain yanawanyanyapaa wengine dah....bora yale ya uswazi ya akina chausiku, sikujua, matumaini, tatizo tehteh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…