Yana roho wachafu😂Dini, wanadai majina kama mabula palamagamba ni ya kishetani🤔
Hawa wanadanganywa kuwa majina ya kiafrika yanaambatana na roho chafu za wizi, uchawi, uzinzi n.k!Dini, wanadai majina kama mabula palamagamba ni ya kishetani🤔
Wewe mwenyewe humu JF ambapo hata hujulikani umetumia jina la City Owl au hilo ni jina la kingoni?Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.
Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.
Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.
Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.
Wao hawana huu ujinga.
Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.
Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.
Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
We unasema tu mkuu.Sio uchagani, uchagani surnames haziwezi kupotea maisha!
watu wa pwani wanayo sema tu hujaishi nao na kuyajua...Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.
Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.
Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.
Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.
Wao hawana huu ujinga.
Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.
Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.
Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
Hahaha wanasema wakina Marwa, chacha, nyamhanga, waryoba ni majina ya mababu na hao mababu ni mizimuYana roho wachafu😂
Sasa hivi tumeamia kwenye majina ya kwenye tamthilia mkuu😁😁😁 mimi kabinti kangu nimekaita pendoo full stop sitaki mambo mengi😁😁Hawa wanadanganywa kuwa majina ya kiafrika yanaambatana na roho chafu za wizi, uchawi, uzinzi n.k!
Upuuzi mtupu.
Huku mitaani wezi, wazinzi, watu wa hovyo ndiyo hao hao wakina Ibrahim na Mohammad.
Bora sisi Wangoni, tunatumia majina ya wanyama,Ndugu wanaJF,
Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu.
Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla.
Ubantu unaisha. Unailoti unaisha.
Watu wa pwani walishapotezwa kitambo. Wao wengi wao wana majina ya kiarabu tupu.
Wakina Mohammed Said. Hata Surname za kiafrika walishaacha.
Watu wa bara ndiyo walikuwa badobado, lakini nao sasa watoto wao ni wakina Brian McDonald, Humphrey Jr. Scott au Natasha-Rose Leonard.
Hata wazungu, wachina, wahindi na waarabu wanatushangaa sana.
Wao hawana huu ujinga.
Hakuna mzungu anaitwa Manka, hakuna muarabu anaitwa Mabula wala mchina anayeitwa Mahenge.
Ngugi wa Thiong'o huyaita haya majina colonial tags.
Yeye aliachana na colonial tag yake 'James' akabaki na Ngugi wa Thiong'o.
Je, waafrika tumeshindwa kuthamini majina ya tamaduni zetu na kuachana na majina ya kigeni?
Mabula wanalisingizia,Dini, wanadai majina kama mabula palamagamba ni ya kishetani🤔
Huko tuendako mtataka kisa ni waafrika basi wavae na kula kama Wahadzabe, pia wasiende shule na waachane na nyumba za kisasa, pia wakiumwa watibiwe na mitishambaNdugu wanaJF,