Big up kwa wote mnaokubali "mchekechoni" ila huwezi jua kama ni jike au dume, zungu au black, muslim au galatia, miguu na mikono timamu au lemavu japo sio blind maana skrini linaiona, yaani ndio raha ya 'jf' full kujiachia, yet very secretive kama mtandao wa kiintelijesia wa UWT, teh teh teh!