robert nesta marley-mwanamziki
robert mugabe-mwanasiasa
robert kelly-mwanamuziki
robert gates-mwanajeshi
robert hook-mfizikia mbona naona hawa kama hawafanani hivi?
akina salma kwa kuangalia kwenye maslahi hawajambo. pia ni wanafiki mafarisayo nyuma wanaweza kukusaidia halafu akakutangaza..... au akaanzisha kitu kwa malengo ya kusaidia kumbe hana lake jambo
halafu wengi ni matapeli......
Muddy kweli au mwamedi lakini wenye majina ya Mohammed huwa na mafanikio sana katika maisha
1. Mohammed Al fayed
2. Mohammed Bin Laden
2. Mohammed Dewji
3. Mohammed Al bardei
4. Mohammed Ibrahim ( Mo Ibrahim )
5. Mohammed Al amoud - forbes.com