Andrew-wapole ila wana msimamo na maamuzi yao,hawashauriki
Alex-viherehere,wakorofi na waongeaji! Usibishane nao
Deo-matapeli,waongo na wanafki.Machoni wapole
Richard-wachafu na wanapenda ngono balaa
akina salma kwa kuangalia kwenye maslahi hawajambo. pia ni wanafiki mafarisayo nyuma wanaweza kukusaidia halafu akakutangaza..... au akaanzisha kitu kwa malengo ya kusaidia kumbe hana lake jambo
halafu wengi ni matapeli......
Andrew-wapole ila wana msimamo na maamuzi yao,hawashauriki
Alex-viherehere,wakorofi na waongeaji! Usibishane nao
Deo-matapeli,waongo na wanafki.Machoni wapole
Richard-wachafu na wanapenda ngono balaa
Baba mwenye nyumba wangu anaitwa david ni mtu mzima sana ila ni penda penda ila kinoma!, basi my kid huwa anamwita babu sasa anakaa na binti mdogo mdogo basi huyo mzee huwa anamwambia kid wangu amwita hy binti bibi kid wangu anamzingua david anamwambia huyu ni aunt sio bibi! Mleta mada Bravo, yaani upo mule mule david ni penda penda!!