1.Erick wapo social sana, na mwanangu huwa tunamtaniaga mr.hospitality maana amebakisha kusalimia wanyama na wadudu tu. Hamwezi mkatembea hatua kadhaa hajasalimia mtu! Wengi wapo social.
2.James wapo very understanding,especially in terms of support au ushauri wa kujenga,wana akili za maisha sana wapo serious sana na mambo yao.
3.Gerard wanajiskia sana hasa kwao wakiwa mambo safi ndio full kogo yani, madem wanakomaga!
4.Robert wana pigo za kishamba sana,wajuaji
5.George huwa watulivu sana na wataratibu, wanajua kucope na watu wa aina zote na wengi wana ubinadamu sana,wana akili za darasani pia.
Kama sio wajinga tu, pia wengi huwa ni victims wa kudanganywa kitoto na wanaume matokeo yake huachwa solemba mfano kuna mmoja mwanangu alimchanyata af alipomchoka akanipasia na mimi sema nilipotezea nkaona uboya!
Mkuu,
Sio kwamba hawadumu kwenye ndoa bali hawaoleki kabisaa. Utastukia tu, alikuwa kaolewa jana, asubuhi kisharudi kwao na tiyari anatafuta mwingine wa kumuoa hata kabla ya talaka. Simpi mtoto jina hili ni balaa
hahahahahahahahah, mi ninae hellen mpole huyo sa sijajua wanaovizia sukari yangu anadili nao vipi, huenda ukawa moja ya wahanga! Asante kwa feedback aisee hahahahahahahaha
hahahahahahahahah, mi ninae hellen mpole huyo sa sijajua wanaovizia sukari yangu anadili nao vipi, huenda ukawa moja ya wahanga! Asante kwa feedback aisee hahahahahahahaha
Duu kwa kweli wakina Neema nimewagonga sana sijawahi kunyimwa na Neema,kina Esther wengi ni wazuri wanene kiasi ila si wachoyo,ukinyimwa na Esther kajichunguze kabisa