J joshua philemon Member Joined Aug 6, 2017 Posts 10 Reaction score 0 Oct 7, 2017 #1 Jamni naombeni mnisaidie kwa waliokosa vyuo awamu hii ya kwanza je huwa kuna majina mengine ambayo hutolewa maana tunaskia mengi mtaani au ni kuaply tena tu
Jamni naombeni mnisaidie kwa waliokosa vyuo awamu hii ya kwanza je huwa kuna majina mengine ambayo hutolewa maana tunaskia mengi mtaani au ni kuaply tena tu
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,365 Reaction score 21,743 Oct 7, 2017 #2 Mwendo wa kuaply upya..hamna jins mungu anawaona hao .....
J joshua philemon Member Joined Aug 6, 2017 Posts 10 Reaction score 0 Oct 7, 2017 Thread starter #3 Pain killer said: Mwendo wa kuaply upya..hamna jins mungu anawaona hao ..... Click to expand... Poa poa
Pain killer said: Mwendo wa kuaply upya..hamna jins mungu anawaona hao ..... Click to expand... Poa poa