Majina /id za ajabu jf kwa mwaka 2015

Majina /id za ajabu jf kwa mwaka 2015

mwakibolo

Senior Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
163
Reaction score
47
kuna majina au id za ajabu kwa mwaka huu, ni zipi?
1.mkwepa kodi
2.mwafilombe
3.
 
K 4 LIFE sijui ni K ipi haswaa.....
 
Last edited by a moderator:
Hiyo id ya Mwafilombe nimeibiwa ni yangu, nilisahau pass word, ikanilazimu nitumie hii afande sheriff john brown aliyekuwa anampasua kichwa hayati Nesta Bob Marley
 
Back
Top Bottom