Majimaji sikioni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majimaji sikioni.

Discussion in 'JF Doctor' started by Ntila91, Mar 22, 2012.

 1. N

  Ntila91 Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa namatatizizo yasikikoo kutoa maji sambamba namumivu pls naomben mnisaidie dawa nawakilisha.
   
 2. k

  kamili JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Inawezekana ukawa na ugonjwa wa sikio unaoitwa Chronic Suppurative Otitis Media, dawa yake ni antibiotics but nenda hospitalini kwanza ukachunguzwe na uandikiwe antbiotics inayofaa na kwa dozi inayofaa.
   
 3. T

  TORABORA Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu kutumia Gentamycin ear drops. Weka matone matatu kila baada ya masaa manne.
   
 4. M

  Mgalatia JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  1.Nunua hydrogen peroxide, vijiti vya masikio, pamba na quadriderm cream.
  2.chovya pamba ya kijiti cha masikio kwenye hydrogen peroxide halafu safishia sikio halafu chukua kijiti kingine kwa ajili ya sikio jingine. Unaweza kutumia hata vijiti 2 Kwa kila sikio hadi uchafu wote utoke.
  3. Halafu chukua vijiti vikavu kukausha masikio.
  4. Paka hiyo cream kwenye kijiti na uingize ndani ya sikio. Hakikisha dawa imeingia ndani ya sikio na ni ya kutosha.
  5. Zina masikio na pamba kuhakikisha dawa haitoki. Hopefully itakuwa imeingia vizuri basi unaweza kutoa hizo pamba baada ya muda.
  6.Unapotaka kwenda kuoga,ziba masikio na pamba halafu paka mafuta hizo pamba mafuta ya mgando ili maji yasiingie.
  7.Toa pamba baada ya kuoga.
  8. Rudia zoezi la kusafisha masikio na kuweka dawa baada ya kama wiki moja au siku 3 kadiri utakavyoona dawa inavyo respond. Ukisikia kuwashwa ndani ya sikio jua kunakauka.
  Nimekuandikia experience yangu tu. Kwa ziada unaweza kumuona daktari wa masikio.
   
Loading...