Classifications zingine zina propaganda mbaya ya kudhalilishana.
Sijui nani aliandika, na kwakutumia criteria gani ila miji mingine hapo ni organic waste, with few weeks of sustained efforts vinaweza kuisha. Kuna miji mingine ya Ulaya na America zina organic waste na non biodegradable pia. Isitoshe, new york rat population has been estimated to 6/1 human. Kumbuka New York ina wakaaji 8,844,000. Pata picha hapo. Their waste management has been a problem and remains unsolved as we speak (
source), hata baada ya almashahuri ya mji kuendesha mradi wa waste management kupitia public-private partnership.