Majigo Natafuta Partner

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,832
Kwa Alichonifanyia Jana Mimi Na Nchi Yangu.....Nimepata Hasira Sana Na Huyu Kikwete
Niko Hapa Kuomba Escot Kwa Yeyote Aliye Mzalendo , Hii Nafasi Inakuhusu
Kesho Asubuhi Na Mapema Tutaenda Ikulu ...Mpaka Ofisini Kwake!!
Shida Yangu Ni Kumchana... Aache Kuchezea Dhamana Niliyompa Mimi Na Watanzania Wenzangu!
Tutafutane PM Kwa Info Zaidi
Ahsante Jigo
 
WE Kitimbakwiri utamwmbia nini rais?
 
Hadi Sasa Kuna Raia Watatu Wamewasiliana Nami Huku Pm, Nao watajumuika Nami hiyo Kesho...Ila Nia Yangu Tuwe Angalau watu 10
 
eheeee!!!! kumbe hupo majigo masantula

ngojan waje hapa watakupa support ya kwenda huko ikulu
 
eheeee!!!! kumbe hupo majigo masantula

ngojan waje hapa watakupa support ya kwenda huko ikulu

Eh! Mamii !Nipo Hapa Kutafuta Partner Mwenye Uzalendo Kama Mimi!!...Kwani We Huwezi Nishika Mkono Kwa Hili?
 

Wewe hukujiandaa......?.....mbona wenzio tulishajua ataongea nini.......tulijiandaa kabisa kwa hiyo hatukushangaa sana.......
 
hapana mm siwezi ngoja waje wengine waifanye kaizi hiyo mm marungu ya kutandikwa kichwani yanini shida?
Eh! Mamii !Nipo Hapa Kutafuta Partner Mwenye Uzalendo Kama Mimi!!...Kwani We Huwezi Nishika Mkono Kwa Hili?
 
Nenda tu juzi kati kuna mbibi alikataliwa kuingia ndani akaanza kutoa hotuba pale getini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…