Majibu ya zitto

joika

Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
37
Reaction score
8
Nimemkubali sana zitto kwa majibu yake juu ya maamuzi ya kamato kuu. Ya msingi yana majibu tunasubuli majjbu ya chadema kwa maswala ya msingi yaliyo ulizwa na zitto.
 
CHADEMA wajibu kuhusu watu walio sambaza walaka kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na walaka feck
 
Mletamada !
"Kamato"
"Walaka"
"Tunasubili"
excuse me , umeandika kilugha au?
 
Hapa ni mahala pake au mimi nimekosea njia
 
wewee hapa ni mahala pa kukenua meno yote!! sio kukunjiana sura na kurushiana matofali!!
 
Shukrani.

BTW; How are you doing dear?
How is your Erickb52? Simuoni siku hizi!


I'm good and he's so soooo mwaaah

Hatujambo kabisa

Shughuli tu za hapa na pale ila si haba anapitapita

Missing you mamy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…