winesvice99
New Member
- Sep 24, 2016
- 2
- 2
Jaman ndg naomben msaada kwa mwenye experience na hiz sec round applctn kutoka kwa hawa tcu huwaga majibu yao yanatoka mda gan au inadepend na idadi ya watu waliorudia bas kwa anayeelewa lolote lile naomba anisaidie mana aman imetoweka kabisa ndg zangu