Posho City JF-Expert Member Joined Mar 15, 2012 Posts 648 Reaction score 418 Sep 11, 2016 #41 Aisee samahani wakuu mdogo wangu amepechaguliwa chuo alichoomba ila tatizo aliomba kusomea ualimu kwa ngazi ya primary ila nacte wamemchagua akasoma technian certificate in ICT....Je anaweza kubadili kozi akifika chuoni??
Aisee samahani wakuu mdogo wangu amepechaguliwa chuo alichoomba ila tatizo aliomba kusomea ualimu kwa ngazi ya primary ila nacte wamemchagua akasoma technian certificate in ICT....Je anaweza kubadili kozi akifika chuoni??