Level Florian
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 202
- 38
Ndo apo sasahuo ujumbe wa provissionally selected kwa wengine huja baada ya ule ujembe wa mwanzo kabisa kuwa you have been selected..... mm nauliza ni kwanin huo ujumbe wa pili uje baada ya ujumbe wa kwanza kwenye profile ?
Diploma
mi mwenyewe nimeandikiwa ndio ninNan kwenye profile yake kaandikiwa ujumbe tofaut nahuo. atujulishe jaman
mi mwenyewe nimeandikiwa ndio nin
Mtu kuuliza kitu doesn't mean he/she is empty headedKama mtu anaetalajia kujiunga chuo kikuu ameshindwa hata kuelewa huo ujumbe bhas tujiandae kwa nchi ya ****** na wapuuz sio ya viwanda tena.....ss nimeamin mamneno ya faiza foxy kuwa kuna watu walienda shule kuongeza ujinga!!!!
Provisionallyumeandikiwaje?
Nan kwenye profile yake kaandikiwa ujumbe tofaut nahuo. atujulishe jaman
Ulikua selected before au?
Yani wengine washapewa taarifa na vyuo walivyopangiwa sis tunabadilishiwa profile kila kukichaJaman mliochaguliwa na nacte angalien tena mbona wamefunga tena ?
Huyo anaoneka alishachaguliwa first round sasa sijui tatizo ni system au nini?Ulikua selected before au?
Dah closed inamaanisha nini wanavyoweka hivyo jaman maana hatuelewiNdyo nilikuwa selected tayari sasa hivi wananiambia clozed
Sasa kama hujui hata maana ya "provisionally selected"wanakuchagua ukafanye nini.Kazi kweli kweli.Jaman kuna ndugu yangu kapewa Majibu hayo na nacte....ambacho sielewi ni ivyo alivyoambiwa provisionally selected,what does it mean??? Mbna wengne hawaambiwi Ilo neno provision???
Wameandika hivyo hivyo tu hamna maneno mengine kwani?Ndyo nilikuwa selected tayari sasa hivi wananiambia clozed
Nilikua selected dakawa na niliapply mwanzoni then wakanipa taarifa kuwa kumejaa nikapewa list nyingne ya vyuo nichague nikachagua,sasa ktk profile yangu ndio nimeandikiwa hivyoUlikua selected before au?
Michango yote ni ya kujenga! Ila wengine hatujatumiwa ujumbe wa aina yoyote mpaka sasa,,,, hii kitu inaashiria nini by the way niliomba higher diploma in language
September 15??