Majibu ya NACTE

fatma kimambo

Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
42
Reaction score
16
Jaman kuna ndugu yangu kapewa Majibu hayo na nacte....ambacho sielewi ni ivyo alivyoambiwa provisionally selected,what does it mean??? Mbna wengne hawaambiwi Ilo neno provision???
 

Attachments

  • 1473393853312.jpg
    63.8 KB · Views: 61
provisionally maana ake umechaguliwa ila usubiri udhibitisho toka chuo huska kwamba unaruhusiwa kujiunga nacho cha kufanya subiri uenda chuo ulichochaguliwa wakatoa majina ukiona yametoka ukaona na lako lipo ndio udhibitisho usiofu we umechaguliwa
 
Jaman kuna ndugu yangu kapewa Majibu hayo na nacte....ambacho sielewi ni ivyo alivyoambiwa provisionally selected,what does it mean??? Mbna wengne hawaambiwi Ilo neno provision???
Kama mtu anaetalajia kujiunga chuo kikuu ameshindwa hata kuelewa huo ujumbe bhas tujiandae kwa nchi ya vilaza na wapuuz sio ya viwanda tena.....ss nimeamin mamneno ya faiza foxy kuwa kuna watu walienda shule kuongeza ujinga!!!!
 
Who told u she hasn't understood??? Its bcoz the profile is different from others,be a little bit civilized, we just wanted to understand why hers is different from others,if u think u know everything u should zip your dirty mouth....
 
Kama mtu anaetalajia kujiunga chuo kikuu ameshindwa hata kuelewa huo ujumbe bhas tujiandae kwa nchi ya ****** na wapuuz sio ya viwanda tena.....ss nimeamin mamneno ya faiza foxy kuwa kuna watu walienda shule kuongeza ujinga!!!!
Kimbauz I think u deserve that shit...
 
Kama mtu anaetalajia kujiunga chuo kikuu ameshindwa hata kuelewa huo ujumbe bhas tujiandae kwa nchi ya ****** na wapuuz sio ya viwanda tena.....ss nimeamin mamneno ya faiza foxy kuwa kuna watu walienda shule kuongeza ujinga!!!!
Acha matusi mpuuzi we!
 
Hata mm nimeandikiwa hivyo lakin wajue wengine ni wafanya kazi inatakiwa kuomba ruhusa kazin sasa tutaombaje bila kujua chuo na bila kuwa na joining?
 
Mwambie asiwe na wasiwasi huyo mdogo wako asubiri wamthibitishe ni chuo gani anachoenda
 
Provisionally selected maana yake n kwamba u have been selected temporarily in a certain institute but u WL be only admitted to that instituteif only if there is available space left for the course that u have been selected ,,,so kuna vtu vwl hapa kama institute ikisema hakuna space then u will be transfered to other institutes where there is available space
Nadhan utakuwa umenielewa kwa hayo maelezo hapo juu,,na Mara nyng hii hutokea hasa kwa MTU aliyejaza vyuo vyny competition kubwa ,,
Unaweza ukawa upo selected provisionally mfano DIT course flan lbd nacte wamewachagua watu 60 mjiunge na hcho chuo na chuo kikasema tunahtaj watu 35 ndo available space iliyopo then,hapo chuo kwny hayo majina kitachukua watu wake ,,kwa vgezo vyao (cut off points) wakiwapata then watakaobak watapelekwa kweny option za vyuo vngine
Kwa hyo ufafanuz ndo huo kuhusu provisionally selected
 
Michango yote ni ya kujenga! Ila wengine hatujatumiwa ujumbe wa aina yoyote mpaka sasa,,,, hii kitu inaashiria nini by the way niliomba higher diploma in language
 
Nmekupata and thanks[emoji6]
 
Jaman kuna ndugu yangu kapewa Majibu hayo na nacte....ambacho sielewi ni ivyo alivyoambiwa provisionally selected,what does it mean??? Mbna wengne hawaambiwi Ilo neno provision???

Umeomba digrii au diploma ?
 
Kwahiyo kuna uwezekano wa kukosa kabisa
 
huo ujumbe wa provissionally selected kwa wengine huja baada ya ule ujembe wa mwanzo kabisa kuwa you have been selected..... mm nauliza ni kwanin huo ujumbe wa pili uje baada ya ujumbe wa kwanza kwenye profile ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…