Andika kifupi utapata jibu.Tiharaei ni nini
DaaaahMIMI NILICHOKIELEWA KWA KAKOBE KWA SABABU WA KAWAIDA WOTE WANAJULIKANA NA KAKOBE HAYUKO KWENYE ORODHA YA MATAJIRI WA KIMENGI, KIMANJI NA KIBAKRESA ETAL.
HVYO NILISHANGAA TRA WALIVYOSEMA WANAENDA KUKAGUA?INA MAANA WAO HAWAJUI MATAJIRI WAO?
EBU ONA, KASEMA HATA MAWAZIRI ANAWEZA KUWAKOPESHA.. HV KIPI CHA AJABU?
KASEMA NI TAJIRI KULIKO SERIKALI, HV TRA HAWAKUJIONGEZA HATA KIDOGO KIIMAN! AU HUKO TRA HAKUNA WASOMAJI WA BIBLIA? INASIKTISHA SANA KUONA TRA INAONGOZWA NA WATU WASIOMJUA MUNGU.
hahaa mamlaka ya .........Tiharaei ni nini
mamlaka inayokata na kukusanya mapato ya wote wanaopataTiharaei ni nini