Geologist
Member
- Mar 28, 2015
- 68
- 63
KAKOBE AWAJIBU T.R.A.
"Wokovu unaitwa ni utajiri usiopimika. Sasa usije ukayatafsiri kama upendavyo"
Waefeso. 3:5-8
"Tafuta mradi wowote wa Kakobe Tanzania nzima, na ukiupata, nitakupa zawadi hadharani."
"Kwa maana hiyo sasa,Tafuta kodi kwingine."
"Fedha yoote ya Tanzania, ya Marekani, China, huwezi kununua tiketi moja ya
Mbinguni. Na ndio maana ukiwa umeokoka, unakuwa na utajiri usiopimika."
"Na ndio maana ninapiga kelele, kwamba mimi ni Tajiri kuliko serikali ya Magufuli."
"Fedha zoote ni mali ya Bwana na mimi ni mrithi wa mali hiyo" hagai 2:8
"Na ndio maana ukisikia kitu kinatoka madhabahuni, tulia kidogo kwanza, na fanya mahesabu kabla hujamkabili Kakobe..."
Heri ya Mwaka Mpya