Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Oct 30, 2024 #1 Habari Wana JF. Baada ya dirisha la 4 dogo account yake inasema hivi Bodi ya Mikopo (HESLB)
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Oct 30, 2024 Thread starter #2 Nataka kuuliza hii ina maana gani?
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 Oct 30, 2024 #3 Hapo bado hajapata mkopo, asubiri Batch nyingine, kama bado ikiwa hivyo basi tarehe 4 aanze process za Appeal (rufaa)
Hapo bado hajapata mkopo, asubiri Batch nyingine, kama bado ikiwa hivyo basi tarehe 4 aanze process za Appeal (rufaa)
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Oct 30, 2024 Thread starter #4 Bob Manson said: Hapo bado hajapata mkopo, asubiri Batch nyingine, kama bado ikiwa hivyo basi tarehe 4 aanze process za Appeal (rufaa) Click to expand... Sasa batch ya 4 tiyari
Bob Manson said: Hapo bado hajapata mkopo, asubiri Batch nyingine, kama bado ikiwa hivyo basi tarehe 4 aanze process za Appeal (rufaa) Click to expand... Sasa batch ya 4 tiyari
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Oct 30, 2024 Thread starter #5 Bob Manson said: Hapo bado hajapata mkopo, asubiri Batch nyingine, kama bado ikiwa hivyo basi tarehe 4 aanze process za Appeal (rufaa) Click to expand... Na hakuna sehemu ya kuaappel
Bob Manson said: Hapo bado hajapata mkopo, asubiri Batch nyingine, kama bado ikiwa hivyo basi tarehe 4 aanze process za Appeal (rufaa) Click to expand... Na hakuna sehemu ya kuaappel
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 Oct 30, 2024 #6 Utajua wewe said: Sasa batch ya 4 tiyari Click to expand... Batch ya 4 tayari, maybe inaweza kutoka nyingine ya 5.
Utajua wewe said: Sasa batch ya 4 tiyari Click to expand... Batch ya 4 tayari, maybe inaweza kutoka nyingine ya 5.
mabutu1835 JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 1,136 Reaction score 1,913 Oct 30, 2024 #7 Subira yavuta heri
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Oct 30, 2024 Thread starter #8 Bob Manson said: Batch ya 4 tayari, maybe inaweza kutoka nyingine ya 5. Click to expand... Kwani ukikosa unajuaje?
Bob Manson said: Batch ya 4 tayari, maybe inaweza kutoka nyingine ya 5. Click to expand... Kwani ukikosa unajuaje?
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Oct 30, 2024 Thread starter #9 mabutu1835 said: Subira yavuta heri Click to expand... Haivuti bangi😄
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Oct 30, 2024 #10 maombi yameshapokelewa akae atulie askilizie majibu
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 Oct 30, 2024 #11 Utajua wewe said: Kwani ukikosa unajuaje? Click to expand... Ukikosa utajua endapo account yako itabaki hivyo hivyo, yaani isipo badilika na kuwa mfumo wa SIPA.
Utajua wewe said: Kwani ukikosa unajuaje? Click to expand... Ukikosa utajua endapo account yako itabaki hivyo hivyo, yaani isipo badilika na kuwa mfumo wa SIPA.
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Oct 30, 2024 Thread starter #12 Bob Manson said: Ukikosa utajua endapo account yako itabaki hivyo hivyo, yaani isipo badilika na kuwa mfumo wa SIPA. Click to expand... Ulishafanya correction
Bob Manson said: Ukikosa utajua endapo account yako itabaki hivyo hivyo, yaani isipo badilika na kuwa mfumo wa SIPA. Click to expand... Ulishafanya correction
Just Pray JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 2,142 Reaction score 4,779 Oct 30, 2024 #13 Utajua wewe said: Habari Wana JF. Baada ya dirisha la 4 dogo account yake inasema hivi View attachment 3139030 Click to expand... Hapo unatakiwa kuangalia sehemu ya SIPA then uangalie allocation
Utajua wewe said: Habari Wana JF. Baada ya dirisha la 4 dogo account yake inasema hivi View attachment 3139030 Click to expand... Hapo unatakiwa kuangalia sehemu ya SIPA then uangalie allocation
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Oct 30, 2024 Thread starter #14 Sasa hapo mtoto afanye mambo mengine alafu baadaye mum waambie kapata
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Oct 30, 2024 Thread starter #15 Observer1 said: Hapo unatakiwa kuangalia sehemu ya SIPA then uangalie allocation Click to expand... Sehemu ya sipa hakuna
Observer1 said: Hapo unatakiwa kuangalia sehemu ya SIPA then uangalie allocation Click to expand... Sehemu ya sipa hakuna
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 Oct 30, 2024 #16 Utajua wewe said: Ulishafanya correction Click to expand... Correction ya nini mkuu
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Oct 30, 2024 Thread starter #17 Bob Manson said: Correction ya nini mkuu Click to expand... Masahihisho ya mkopo??
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,528 Reaction score 8,685 Oct 30, 2024 #18 Utajua wewe said: Masahihisho ya mkopo?? Click to expand... Sijawahi kufanya
Just Pray JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 2,142 Reaction score 4,779 Oct 30, 2024 #19 Utajua wewe said: Sehemu ya sipa hakuna Click to expand... click sehemu ya menu hapo
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Oct 30, 2024 Thread starter #20 Observer1 said: click sehemu ya menu hapo Click to expand...