Majibu ya H Kigwangalla kwa Bashe na wapambe wake

Majibu ya H Kigwangalla kwa Bashe na wapambe wake

Duh ya wanasiasa hayaishi kushangaza! Hivi kweli ziara za kwenda mikoa mingine ambayo haina tofauti na Nzega kwa madiwani ndiyo capacity building? Je hii ni endelevu? Ebu tulinganishe kutengeneza mazingira bora kwa watoto wa Nzega kujifunza k.m kwa kuwatengenezea madawati, kujenga nyumba za walimu na yanayofanana na hayo ni kipi kipaumbele bora katika capacity building?
 
Lucas Selelii ndio Mtu aliestahili kuendelea kuwa Mbunge hawa kina Kigwa na Haramia la kisomali ni Ajali ya kisiasa iliyotokea Nzega!
 
huyu dogo anatakiwa kufikishwa mahakamani na kufungwa

kukwepa ushuru ni kosa kubwa sana
 
Back
Top Bottom