Majibu: Sperm analysis

Safi sana majibu mazuri ,mafupi yanayoeleweka hata mimi hapa nimepata majibu ya wasiwasi wangu juu ya mbegu kuchirizi nje,nikidhani niko peke yangu ama ni tatizo langu ama ni tatizo
 
Wakuu. Vipi kuhusu mbegu kutoka nje kwenye uke ?
 
Naona uko sawa maybe your partner has a problem.
 
Wakuu. Vipi kuhusu mbegu kutoka nje kwenye uke ?
Huyo mwanamke alikua anacheza na kilamtuu kwahyo kutazake zimelegea hivyo haziwezi jifunga kuzuia sparm
Nasema hivi kwa utafiti nilifanya kwa wanawake sita (mmoja bikra nilikua nikipiga bao linapotelea ndani mwingine alitembea namwanaume mmoja tuu akaja akakutana na Mimi baada yakuachana nazo zikawa zinaishia ndani mzigo unatoka umefutwa vizuri,waliobaki walikua nihawa wanachuo wakuokoteza na pisi za mtaani Yani ukipiga bao nilinatiririkia njee nakuta zao za uzazi zilikua hazibani kwa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…