Majibu: Sperm analysis

Hili swali nilikua nalo kichwani, nashukuru mkuu kwa kuuliza, akitoa jibu naomba uni-tag mkuu!
Unapewa kichupa unaenda nacho toilet, unanyetuka alafu unaweka kichupani. Au unaweza kwenda na mwenzio unaingia nae toilet munafanya yenu kwa condom alafu unaipeleka, au pia munaweza mukafanyia nyumbani alafu ukapeleka ndani ya mda usiozidi masaa matano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nikupongeze sana Kwa kufanya vipimo maana wanaume wengi ni wabishi sana kufanya sperm analysis,pili sioni tatizo kubwa majibu yako vizuri kidogo ni kwenye motility nako si inshu kubwa,kikubwa fanya mazoezi,kula chakula bora,pendelea kula nuts sana km karanga na korosho,tikiti kwa sana,karoti n.k ,kuwa na muda mzuri Wa kupumzika,epuka stress,stress ni tatizo kubwa sana ukiendelea kuwaza sana usishangae huko mbeleni hata bao kulitafuta ikawa shida au upo eneo la tukio ghafla gari linazima,usiwaze sana kuhusu mtoto,mtoto atakuja tu ,wewe fanya Kwa kufurahi nafsi yako.

Jambo muhimu upande Wa pili ni muhimu sana kupima,hilo tatizo la sperm kutoka nje wakati mwingine ni la mama kutokana na uterus structure,infections etc, pili wote mrelax mwaka mmoja bado mapema sana endeleeni kufanya uchunguzi Wa kina kwenu nyote wawili huku mkimaintain good healthy status.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shughuli za migodini zina uhusiano gani na kutopata mtoto?
 
Sperm analysis pekee ni TSH 30,000.

Ukipima na hivyo vipimo vingine vya ziada (testosterone, FBC, urine, na VDRL) gharama zinaongezeka na kufikia TSh 170,000/= jumla kuu.

Nilienda Bugando. Sina BIMA, nililipa cash.
Ahsante kwa kutufumbua macho bro. Ni wazi inabidi namimi niende kupima kwani toka nioe mwaka jana august hatujabahatika bado.
 
Pole sana kwa tatizo lililokupata Mkuu.

Najua inaumiza sana....!

Niliwahi kusoma mahali, kuwa kutafuna mbegu 250-300 za maboga kila siku, (unaweza kuzikaanga kidogo) kwa muda wa miezi 3 zinatibu hilo tatizo.
 


Japo huku kuna madaktari, ni mara chache sana utapata majibu sahihi kwani watu wengi hata kama si madaktari watatoa majibu na mengine yatakukatisha tamaa.

Nakushauri wasiliana na madaktari waliokupima wakupe majibu ya swali lako, au tafuta daktari maeneo unayoishi ili akusaidie.
 
Mkuu, Masaa matano ni mengi. Inaweza ikapunguza usahihi wa majibu yako. Muda mzuri wa kufikisha hicho kipimo - Usizidi dakika 45. Na ili kipimo kiweze kutoa majibu mazuri ni vyema usiwe umefanya tendo kwa muda wa siku 3 - 7.
 
Ilo n tatizo kubwa sana kwa wanaume Ila awatak kwenda kupima wanawatupia mpira wanaume...n wakat sasa wa serikali kutengeneza madaktar bingwa wa mambo ya uzazi kwa wanaume...maana kwa APA tz n ishu..wanaume tukipata shida kidogo kwenye uzazi wanakwambia mpaka nje ya nchi...shukuru at a mbegu zimeonekana wenzako kwenda kupima at a moja hazipo...wametushauri mpaka ulaya upandikizwe mtoto c chini ya $40,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mkuu nilichokiona manii yako ni blankooo tupu pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumia staili nzuri naona pump yako ya kurusha sperm imelegea hazitoki kwa kasi , moja ya stili nzuri ni yeye mkeo apige magoti kwenye kitanda mikono iguse sakafu alafu pelekea moto huku unasali gravity itakusaidia kuzivuta hadi kwenyr yai na ulenge siku zake za hatari

na wakati unamwaga make shure unaideep penis yako na ukaze matako maana pump yenyewe mshipa wake unatokea matakoni ule unaopita down

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona scientific paper yoyote inayoonyesha kwamba style ya kufanya mapenzi inasaidia katika utungwaji wa mimba zaidi ya maneno ya mtaani, kama unayo hebu iweke hapa niipitie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…