Pole mkuu...ngoja wataalamu waje
am better here
Ameeni be blessedShukrani ndugu. Really you are better here, hopefully I too will be.
Huyo Dr aliyekwambia ukapime ndiye alitakiwa akupe ushauri baada ya majibu. Aseme nn tatizo katika hayo majibuHello wanaJF.
Mimi na mke wangu tumetafuta mtoto Kwa mwaka mzima sasa bila mafanikio. Juzi nikaenda hospitali na kufanya vipimo vifuatavyo ...
1. Sperm/Semen Analysis:
View attachment 1046108
2. Testosterone:
View attachment 1046109
3. FBC:
View attachment 1046110
4. Urine:
View attachment 1046111
Taarifa za nyongeza:
===> Rangi ya Manii zangu ni 'light yellow' kwa kiasi kikubwa. Chache sana (tone moja hivi) ni rangi nyeupe/kijivu.
===> Manii ni nyepesi. Zinayeyuka haraka.
===> Kwenye tendo la ndoa, nikishamwaga ndani ya uke, manii zote zinachuruzika kutoka nje hata kama mwanamke amelala chali.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu. Je kwa vipimo hivyo, afya yangu ya uzazi iko vizuri?
Ahsanteni.
Huyo Dr aliyekwambia ukapime ndiye alitakiwa akupe ushauri baada ya majibu. Aseme nn tatizo katika hayo majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Checkup ya mwanamke analysis yake iko wapi chief??pengine labda shida iko kwake coz kwa pic hizo hamna tatizo kwa upande wako.suala la maniii kumiminika nje ya uke ni kawaida kuna mimillion ya manii for only one bao na haziwezi toka zote nje wala baki zote ndani.
Manii yako inaafya kwa kiwango kikubwa sana na hamna abnormality yeyote hapo.
Ushawahi jihusisha na shuguli za migodini,x-ray treatment,au kunywa pombe Kupita kiasi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vinakwenda ngapi gharama zakeHello wanaJF.
Mimi na mke wangu tumetafuta mtoto Kwa mwaka mzima sasa bila mafanikio. Juzi nikaenda hospitali na kufanya vipimo vifuatavyo ...
1. Sperm/Semen Analysis:
View attachment 1046108
2. Testosterone:
View attachment 1046109
3. FBC:
View attachment 1046110
4. Urine:
View attachment 1046111
Taarifa za nyongeza:
===> Rangi ya Manii zangu ni 'light yellow' kwa kiasi kikubwa. Chache sana (tone moja hivi) ni rangi nyeupe/kijivu.
===> Manii ni nyepesi. Zinayeyuka haraka.
===> Kwenye tendo la ndoa, nikishamwaga ndani ya uke, manii zote zinachuruzika kutoka nje hata kama mwanamke amelala chali.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu. Je kwa vipimo hivyo, afya yangu ya uzazi iko vizuri?
Ahsanteni.
Cheki vzr kwenye sperm motilityCheckup ya mwanamke analysis yake iko wapi chief??pengine labda shida iko kwake coz kwa pic hizo hamna tatizo kwa upande wako.suala la maniii kumiminika nje ya uke ni kawaida kuna mimillion ya manii for only one bao na haziwezi toka zote nje wala baki zote ndani.
Manii yako inaafya kwa kiwango kikubwa sana na hamna abnormality yeyote hapo.
Ushawahi jihusisha na shuguli za migodini,x-ray treatment,au kunywa pombe Kupita kiasi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali nilikua nalo kichwani, nashukuru mkuu kwa kuuliza, akitoa jibu naomba uni-tag mkuu!Mimi naomba kuuliza mkuu..ukienda kupimwa huwa nurse anakupigisha nyeto au unapiga mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali nilikua nalo kichwani, nashukuru mkuu kwa kuuliza, akitoa jibu naomba uni-tag mkuu!
Shida kiasi naiona kwenye motility mkuu, ili fertilization iweze kutake place sperm lazima ziwe na uwezo wa kuogelea kwa wingi wa kutosha. Kwa case yako sperm zenye uwezo ni asilimia 30 tu, asilimia 80 hazina uwezo kabisa na asilimia 20 zinamove lkn kwa shida mno. Kimsingi piga diet ambayo itaboresha sperm motility.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naomba kuuliza mkuu..ukienda kupimwa huwa nurse anakupigisha nyeto au unapiga mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliotoa majibu ya vipimo walisemaje na kushaurije?
Nje ya mada :-
1. Gharama ya vipimo na kiasi gani ?
2. Wanapokea bima za NHIF?
3. Ni hospitali gani hiyo?
Mimi naomba kuuliza mkuu..ukienda kupimwa huwa nurse anakupigisha nyeto au unapiga mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni vizuri zaidi kama ungefanya checkup na upande wa pili(mwenza wako)sperm mobility kidogo ndiyo haiko sawa na ndiyo maana nikauliza kuhusu shughuli zako.Mwanamke sijampeleka kumcheki bado.
Hapana mkuu, sijawahi kufanya kazi migodini wala x-ray treatment. Pombe nakunywa very occasionally.... mara moja hata kwa miezi 3. Ahsante sana kwa mchango wako
Shukrani kwa majibu mkuu! MWENYEZI MUNGU akujalie kupata wana na mabinti kwa kadri ya wema na fadhili zake!Sperm analysis pekee ni TSH 30,000.
Ukipima na hivyo vipimo vingine vya ziada (testosterone, FBC, urine, na VDRL) gharama zinaongezeka na kufikia TSh 170,000/= jumla kuu.
Nilienda Bugando. Sina BIMA, nililipa cash.