Majibu PSPF yametoka?

pinochio

Member
Jul 27, 2011
26
3
Wanajamii naombeni mnisaidi nilifanya interview ya PSPF je kwa waliofanya kuna walioitwa tena?
 
Wanajamii naombeni mnisaidi nilifanya interview ya PSPF je kwa waliofanya kuna walioitwa tena?

walisema kabla ya november wangetoa shortlist ya 2nd round..lbd next week watatoa...si unajua kusahihisha pepa tena then si unaikumbuka ile nyomi ya cku ile pale duce!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…