Majibu kwa wengine

Even parents can be the reason
 
Suicide is permanent solution to a temporary problem,.. Do not do it,no matter what things happen for a reason,...
 
kujinyonga si kitendo rahisi,
huwa kuna nguvu ya kishetani inayosukuma akili kufanya hivo
Kujinyonga ( au aina yoyote ya kujitoa uhai) sio kitendo cha hiyari, inasukumwa na nguvu fulani ya kiroho ( inaweza ikawa ndani au nje ya muhusika). Mtu anapofanya jaribio la kujiua au anapowaza kujiua kwa namna yoyote ile au anapoota anajiua, anatakiwa kufanyiwa Spiritual deliverance mapema maana nguvu hii ya kujiua lazima itamshinda na atatimiza lengo na kusudio la kujiua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…