Majibu kwa mtela mwampamba

Majibu kwa mtela mwampamba

Salas

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2009
Posts
382
Reaction score
82
1. Mmiliki wa jengo lililopangishwa na
CHADEMA Kinondoni kama ofisi za makao
makuu na bei ya pango kwa mwezi vimefanywa
siri. Mara kadhaa swali hili limeibuliwa lakini
hakuna jibu lililoweza kutolewa na uongozi wa
CHADEMA.
Swali 1. JIBU: Kutoka na maswala ya kiusalama na Kimkakati maswali ya namna hiyo sidhani kama yanaweza ya katangazwa
2. Wanachama walioomba fursa ya kushiriki
tenda ya kununua magari ya chama
wamenyimwa fursa hiyo na hatimaye tenda
hiyo imetolewa kwa usiri mkubwa. Chris Lukosi
amekuwa akishutumiwa kuwa sababu ya kujitoa
kwake CHADEMA ni kunyimwa tenda hii, lakini
pale wadau walipohoji baada ya Lukosi
kunyimwa tenda hiyo ni nani amepewa na kwa
vigezo vipi?, kinaibuka kigugumizi.
Swali 2: JiBu, Chris Lukosi, hakukidhi vigezo na tumethibitisha hili pia kwenye zile rambi rambi za mjane wa …………………….
3. Swala la Katibu Mkuu wa chama kujikopesha
mamilioni ya shilingi zilizochangwa na
walalahoi kwa ajili ya shughuli za chama.
Ikumbukwe kuwa watu waliochangia M4C
walifanya hivyo kwa vile waliamini kuwa
michango yao itakiwezesha chama kujiimarisha.
Taarifa kuwa pesa zimetumika kifisadi
zimewavunja watu moyo.
SWali 3: Jibu Katibu amepewa dhamana ya kukijenga chama hivyo covert operation zinazofanyika kisiri ili kupambana na mamluki kama wewe na wenzako pindi mmengejua haya mngesharopoka.
4. Taarifa za Josephine Mushumbusi kulipwa
mamilioni ya shilingi za chama kwa kazi
anayoiita ya kujitolea. Wadau walihoji kuwa na
wao wangependa kujitolea kwenye shughuli za
chama ili walipwe hayo mamilioni. Ilidhihirika
kuwa Josephine alipata fursa hiyo kwa
upendeleo.
Swali 4:Jibu nani asiyemjua Josephine kwa uwezo wake kwenye maswala ya accounts na masystems mbalimbali kawaulize wadau wa UNHCR watakupa details vizuri sio mbulula wafuga tumbo kama wewe ambao shule zenyewe za kuunga unga unga. Huajiriki ndio maana familia inakushinda.
5. Pesa za ruzuku zimekuwa zikiishia Makao
Makuu. Watendaji wa chama mawilayani
wamekuwa wakifanya kazi bila nyenzo. Hii
ilisababisha mpaka kukawa na mtafaruku huko
Mpanda kwa kukosa ofisi ya wilaya ambayo
kimsingi ni jukumu la chama makao makuu
kuhakikisha chama kina ofisi za wilaya.
Ikumbukwe pia kuwa matumizi haya mabaya ya
fedha yalikuwa sababu ya mvutano wa kisiasa
kati ya marehemu Chacha Wangwe na kiongozi
Mkuu wa Chama.
Swali 5 JIBU chama kimetanuka kwa kasi kubwa na kina mikakti mizito na ruzuku haitoshelezi katika hayo ufisadi ni dhana ya CCM na mamluki wake. Ungetueleza nani kaiba ya mabillion juzi na kwasababu gani ungejua kwanini XXXX amekufa na mtoto wake amefutwa majonzi kwa kugombea ubunge kwa niaba ya baba yake
6. Kumekuwa na taarifa za matumizi mabaya

ya pesa za Sabodo jambo ambalo limeelezewa
kuwa sababu ya kumfanya Sabado kuahirisha
ahadi yake ya kuijengea CHADEMA ofisi za
makao makuu na chuo cha siasa.
SWALI 6 JIBU: Kutokana na vitisho alivyo fanyiwa sabodo ameamua kukisaidia chama kwa siri na kusababisha nyinyi mliopata vyeo kwa kutoboa siri huko CCM kuhaha kwa kukosa taarifa za kuwapa waajiri wenu wa usaliti. Mkaishia kusema mataifa ya nnje yanawapa chadema fedha na kumbuka ule mkakati wa kusema chadema kinafadhiliwa na Rwanda mnaoupika tumeshaujua na hoja za kujibu tunazo.
7. Katibu Mkuu wa CHADEMA ni miongoni mwa
washutumiwa wa ufisadi wa mamilioni ya pesa
za mradi wa maji wa Karatu.
Swali 7 Jibu: Ni ukweli usiopingika bila Dr slaa akiwa kama mratibu wa maendeleo jimbo katoliki la mbulu kupitia programme ya maji(DMDD water programme) ndie aliyeandika mradi wa maji na kupata hizo fedha na kutekeleza huo mradi wa kihistoria ambao uliweka karatu kwenye ramani ya nchi na kuanzisha bodi ya KAVIWASU kuendeleza mradi huo, kwasasa kaviwasu inakusanya Zaidi ya million 100 kwa mwezi. Ufisadi wa maji unaotaka kuuzungumzia zungumzia hela za maji vijiji kumi(WSDP) ili enda wapi (2007) na kuishia kufanya mradi wa maji kwa kijiji kimoja au viwili kwa wilaya.
8. Viti Maalum vya ubunge vimetolewa kwa
upendeleo ambapo akinamama waliojitolea
kukijenga chama wameachwa pembeni na
nafasi hizo kupewa akinamama walio karibu na
viongozi wa juu wa chama. Hapa ikumbukwe
kuwa mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la
CHADEMA (BAWACHA) wa Taifa alishinda
nafasi ya uchaguzi wa viti maalum, lakini
akatolewa kwa kuambiwa kuwa hajakidhi vigezo
vya kuwa mbunge ingawa amewaongoza
wanawake wenzake kwa muda mrefu ndani ya
chadema. Wakati huohuo mwanamama
anayeishi Marekani, Leticia Nyerere amepewa
Ubunge wa viti maalum kutokana na
"kufahamiana" na mwenyekiti wa chama. Hili
limewavunja moyo wengi walioanza kuiamini
chadema.
SWALI 8 JIBU: Katika hali ya uchanga wa chama ni vigumu kuchagua mamluki ambao wanaweza wakanunuliwa muda wowote na kuacha chama uchi kwa mfano wewe au shonza mmengekuwa wabunge si mng’enunuliwa kirahisi tu. Chama kina jijenga hivyo umakini mkubwa lazima uangaliwe katika haya pole sana subiri CCM watakuchagua viti maalum wewe au shonza.
9. Vijana kama Kafulila walioonekana kuwa na
ari ya mabadiliko ndani ya chama wamekuwa
wakinyimwa nafasi ya kugombea uongozi
kinyume na katiba.
SWALI 9: Kafulila aligunduliwa msaliti kuanzia siku ya kwanza pasipo yeye kujijua nahii ni kwa msaada wa vijana wetu walioko nnje ya siasa lakini hutusaidia kufanya ulinzi wa chama kwa weledi na uaminifu uliotukuka. Mungu awape nguvu na hekima na maisha marefu kuelekea Tanzania tuiombayo inshallah.
10. CHADEMA kukanusha kauli ya Nape kuwa
wanapewa msaada na chama cha siasa cha
Ujerumani, baadae ikadhihirika kuwa ni kweli
wanapokea msaada huo. Hii imedhihirisha kuwa
CHADEMA sio wawazi katika utendaji wao.
Wadau wanajiuliza chama hicho cha siasa
kinataka nini Tanzania mpaka kikipinge chama
kilichoasisiwa na wapigania Uhuru na kutaka
chadema iingie madarakani? Ikumbukwe kuwa
muasisi wa CHADEMA Mzee Mtei, alikataa
kushiriki harakati za kupigania uhuru na pia
alikataa kujitolea kuijenga nchi baada ya Uhuru.
JIBU SWALI 10: Wala CCM haijawahi kukiri kuwa wanapewa msaada na CHINA, na INDIA…na wala haijawahi kukiri KAGODA wala EPA hela zilikwenda wapi. Na huo uzushi ni wauongo na aliyeutoa nadhani mnaona anavyo weweseka.
11. Hesabu za pesa zinazochangwa na
walalahoi kwa ajili ya M4C imekuwa ni jambo la
siri kubwa ndani ya CHADEMA
SWALI 11 JIBU Na hilo ndio linawasumbua sana kwani kuna watu wameshawaambia matajiri wengi wanatoa fedha kupitia mawakala wao kwenye hio michango na hivyo mnashangazwa ni wakina nani na bado mwaka huu 2014 ni mperampera mpaka kieleweke. Pole sana.

kama kweli huyu ni MtelaMwampamba basi ni hatari sana,... na sijui kwanini yeye yuko sisiemu lakini kila siku haishi na mambo ya chadema, ni kama mwanamke aliyeaachwa lakini bado anampenda mwanaume, kwa hiyo kila siku nikufuatilia x wake yuko wapi na nani.. Ukishaachika kaa tulia... Baadhi ya vijana kama huyo Mwambamba ni hatari sana kwa kwa taifa hili....
  • user-online.png
    Pascal Ndege

    Today 10:26
    #1
    JF Gold Member
    jfgold.png
    Array

    Join Date : 24th November 2012
    Posts : 421
    Rep Power : 450
    Likes Received48
    Likes Given24

    [h=2]
    icon1.png
    Maasikini chadema yetu na ufisadi[/h]

mkuu huyo dagaa mchele asikusumbue , mbona kishatumika na katelekezwa ! DUNIA HAINA HURUMA - BAHATI BUKUKU .
 
1. Mmiliki wa jengo lililopangishwa na
CHADEMA Kinondoni kama ofisi za makao
makuu na bei ya pango kwa mwezi vimefanywa
siri. Mara kadhaa swali hili limeibuliwa lakini
hakuna jibu lililoweza kutolewa na uongozi wa
CHADEMA.
Swali 1. JIBU: Kutoka na maswala ya kiusalama na Kimkakati maswali ya namna hiyo sidhani kama yanaweza ya katangazwa
2. Wanachama walioomba fursa ya kushiriki
tenda ya kununua magari ya chama
wamenyimwa fursa hiyo na hatimaye tenda
hiyo imetolewa kwa usiri mkubwa. Chris Lukosi
amekuwa akishutumiwa kuwa sababu ya kujitoa
kwake CHADEMA ni kunyimwa tenda hii, lakini
pale wadau walipohoji baada ya Lukosi
kunyimwa tenda hiyo ni nani amepewa na kwa
vigezo vipi?, kinaibuka kigugumizi.
Swali 2: JiBu, Chris Lukosi, hakukidhi vigezo na tumethibitisha hili pia kwenye zile rambi rambi za mjane wa …………………….
3. Swala la Katibu Mkuu wa chama kujikopesha
mamilioni ya shilingi zilizochangwa na
walalahoi kwa ajili ya shughuli za chama.
Ikumbukwe kuwa watu waliochangia M4C
walifanya hivyo kwa vile waliamini kuwa
michango yao itakiwezesha chama kujiimarisha.
Taarifa kuwa pesa zimetumika kifisadi
zimewavunja watu moyo.
SWali 3: Jibu Katibu amepewa dhamana ya kukijenga chama hivyo covert operation zinazofanyika kisiri ili kupambana na mamluki kama wewe na wenzako pindi mmengejua haya mngesharopoka.
4. Taarifa za Josephine Mushumbusi kulipwa
mamilioni ya shilingi za chama kwa kazi
anayoiita ya kujitolea. Wadau walihoji kuwa na
wao wangependa kujitolea kwenye shughuli za
chama ili walipwe hayo mamilioni. Ilidhihirika
kuwa Josephine alipata fursa hiyo kwa
upendeleo.
Swali 4:Jibu nani asiyemjua Josephine kwa uwezo wake kwenye maswala ya accounts na masystems mbalimbali kawaulize wadau wa UNHCR watakupa details vizuri sio mbulula wafuga tumbo kama wewe ambao shule zenyewe za kuunga unga unga. Huajiriki ndio maana familia inakushinda.
5. Pesa za ruzuku zimekuwa zikiishia Makao
Makuu. Watendaji wa chama mawilayani
wamekuwa wakifanya kazi bila nyenzo. Hii
ilisababisha mpaka kukawa na mtafaruku huko
Mpanda kwa kukosa ofisi ya wilaya ambayo
kimsingi ni jukumu la chama makao makuu
kuhakikisha chama kina ofisi za wilaya.
Ikumbukwe pia kuwa matumizi haya mabaya ya
fedha yalikuwa sababu ya mvutano wa kisiasa
kati ya marehemu Chacha Wangwe na kiongozi
Mkuu wa Chama.
Swali 5 JIBU chama kimetanuka kwa kasi kubwa na kina mikakti mizito na ruzuku haitoshelezi katika hayo ufisadi ni dhana ya CCM na mamluki wake. Ungetueleza nani kaiba ya mabillion juzi na kwasababu gani ungejua kwanini XXXX amekufa na mtoto wake amefutwa majonzi kwa kugombea ubunge kwa niaba ya baba yake
6. Kumekuwa na taarifa za matumizi mabaya

ya pesa za Sabodo jambo ambalo limeelezewa
kuwa sababu ya kumfanya Sabado kuahirisha
ahadi yake ya kuijengea CHADEMA ofisi za
makao makuu na chuo cha siasa.
SWALI 6 JIBU: Kutokana na vitisho alivyo fanyiwa sabodo ameamua kukisaidia chama kwa siri na kusababisha nyinyi mliopata vyeo kwa kutoboa siri huko CCM kuhaha kwa kukosa taarifa za kuwapa waajiri wenu wa usaliti. Mkaishia kusema mataifa ya nnje yanawapa chadema fedha na kumbuka ule mkakati wa kusema chadema kinafadhiliwa na Rwanda mnaoupika tumeshaujua na hoja za kujibu tunazo.
7. Katibu Mkuu wa CHADEMA ni miongoni mwa
washutumiwa wa ufisadi wa mamilioni ya pesa
za mradi wa maji wa Karatu.
Swali 7 Jibu: Ni ukweli usiopingika bila Dr slaa akiwa kama mratibu wa maendeleo jimbo katoliki la mbulu kupitia programme ya maji(DMDD water programme) ndie aliyeandika mradi wa maji na kupata hizo fedha na kutekeleza huo mradi wa kihistoria ambao uliweka karatu kwenye ramani ya nchi na kuanzisha bodi ya KAVIWASU kuendeleza mradi huo, kwasasa kaviwasu inakusanya Zaidi ya million 100 kwa mwezi. Ufisadi wa maji unaotaka kuuzungumzia zungumzia hela za maji vijiji kumi(WSDP) ili enda wapi (2007) na kuishia kufanya mradi wa maji kwa kijiji kimoja au viwili kwa wilaya.
8. Viti Maalum vya ubunge vimetolewa kwa
upendeleo ambapo akinamama waliojitolea
kukijenga chama wameachwa pembeni na
nafasi hizo kupewa akinamama walio karibu na
viongozi wa juu wa chama. Hapa ikumbukwe
kuwa mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la
CHADEMA (BAWACHA) wa Taifa alishinda
nafasi ya uchaguzi wa viti maalum, lakini
akatolewa kwa kuambiwa kuwa hajakidhi vigezo
vya kuwa mbunge ingawa amewaongoza
wanawake wenzake kwa muda mrefu ndani ya
chadema. Wakati huohuo mwanamama
anayeishi Marekani, Leticia Nyerere amepewa
Ubunge wa viti maalum kutokana na
"kufahamiana" na mwenyekiti wa chama. Hili
limewavunja moyo wengi walioanza kuiamini
chadema.
SWALI 8 JIBU: Katika hali ya uchanga wa chama ni vigumu kuchagua mamluki ambao wanaweza wakanunuliwa muda wowote na kuacha chama uchi kwa mfano wewe au shonza mmengekuwa wabunge si mng'enunuliwa kirahisi tu. Chama kina jijenga hivyo umakini mkubwa lazima uangaliwe katika haya pole sana subiri CCM watakuchagua viti maalum wewe au shonza.
9. Vijana kama Kafulila walioonekana kuwa na
ari ya mabadiliko ndani ya chama wamekuwa
wakinyimwa nafasi ya kugombea uongozi
kinyume na katiba.
SWALI 9: Kafulila aligunduliwa msaliti kuanzia siku ya kwanza pasipo yeye kujijua nahii ni kwa msaada wa vijana wetu walioko nnje ya siasa lakini hutusaidia kufanya ulinzi wa chama kwa weledi na uaminifu uliotukuka. Mungu awape nguvu na hekima na maisha marefu kuelekea Tanzania tuiombayo inshallah.
10. CHADEMA kukanusha kauli ya Nape kuwa
wanapewa msaada na chama cha siasa cha
Ujerumani, baadae ikadhihirika kuwa ni kweli
wanapokea msaada huo. Hii imedhihirisha kuwa
CHADEMA sio wawazi katika utendaji wao.
Wadau wanajiuliza chama hicho cha siasa
kinataka nini Tanzania mpaka kikipinge chama
kilichoasisiwa na wapigania Uhuru na kutaka
chadema iingie madarakani? Ikumbukwe kuwa
muasisi wa CHADEMA Mzee Mtei, alikataa
kushiriki harakati za kupigania uhuru na pia
alikataa kujitolea kuijenga nchi baada ya Uhuru.
JIBU SWALI 10: Wala CCM haijawahi kukiri kuwa wanapewa msaada na CHINA, na INDIA…na wala haijawahi kukiri KAGODA wala EPA hela zilikwenda wapi. Na huo uzushi ni wauongo na aliyeutoa nadhani mnaona anavyo weweseka.
11. Hesabu za pesa zinazochangwa na
walalahoi kwa ajili ya M4C imekuwa ni jambo la
siri kubwa ndani ya CHADEMA
SWALI 11 JIBU Na hilo ndio linawasumbua sana kwani kuna watu wameshawaambia matajiri wengi wanatoa fedha kupitia mawakala wao kwenye hio michango na hivyo mnashangazwa ni wakina nani na bado mwaka huu 2014 ni mperampera mpaka kieleweke. Pole sana.
SWALI 11 JIBU Na hilo ndio linawasumbua sana kwani kuna watu wameshawaambia matajiri wengi wanatoa fedha kupitia mawakala wao kwenye hio michango na hivyo mnashangazwa ni wakina nani na bado mwaka huu 2014 ni mperampera mpaka kieleweke. Pole sana.

Majibu yako yanafaa kuwa hotuba ya machizi Mirembe
 
Maswali mazito sana LAKINI majibu mepesi sana kama pamba alafu nahisi majibu haya yanatolewa na Mwanamke. Kama sio Josephine sijui ni nani ? Yaani hata mwandiko ni wa kike kabisaa na mipasho yake yamekaa kike kikee sanaaa
 
Hata Mimi sijui nani kamvuruga mwaipamba
 
Ukihama chadema sawa na kutumbukia choon. Wako wapi Kaboru, Shitambala, Tambwe kifupi ni kwamba ukienda sisiem u wewe ni kama disposable instrument e.g kondom, latex gloves. polen sana
 
Unaonekana kuipenda falsafa ila haikupendi,andika direct tu ili ueleweka.
 
Back
Top Bottom