M Mangi Mlay JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 5,743 Reaction score 7,103 Jan 23, 2020 #2 Angefariki kwenye ile Ajali angeingia kwenye record ya Kina Sokoine ambao walikufa wakiwa kwenye majukumu ya kikazi haya yote angekuwa hayawazi Sent using Jamii Forums mobile app
Angefariki kwenye ile Ajali angeingia kwenye record ya Kina Sokoine ambao walikufa wakiwa kwenye majukumu ya kikazi haya yote angekuwa hayawazi Sent using Jamii Forums mobile app
B Boaziwaya JF-Expert Member Joined Oct 21, 2019 Posts 751 Reaction score 564 Jan 23, 2020 #3 Nguseroh said: View attachment 1331499 Click to expand... namuona kuna mtu kama siyo base basi ni supika anafanya yake tu, sijui atamuona?
Nguseroh said: View attachment 1331499 Click to expand... namuona kuna mtu kama siyo base basi ni supika anafanya yake tu, sijui atamuona?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,299 Jan 23, 2020 #4 Simkubali lakini simtakii kifo. MTOCHORO said: Angefariki kwenye ile Ajali angeingia kwenye record ya Kina Sokoine ambao walikufa wakiwa kwenye majukumu ya kikazi haya yote angekuwa hayawazi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Simkubali lakini simtakii kifo. MTOCHORO said: Angefariki kwenye ile Ajali angeingia kwenye record ya Kina Sokoine ambao walikufa wakiwa kwenye majukumu ya kikazi haya yote angekuwa hayawazi Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Abunwasi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 5,486 Reaction score 3,483 Jan 23, 2020 #5 Nguseroh said: View attachment 1331499 Click to expand... Dual la kuku!!!!!!!
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,300 Reaction score 47,328 Dec 5, 2020 Thread starter #6 Abunwasi said: Dual la kuku!!!!!!! Click to expand... Mkuu kwemaa?
Pabloz JF-Expert Member Joined Oct 24, 2020 Posts 1,818 Reaction score 9,335 Dec 6, 2020 #7 Atarudi tuu Mitano mingiii
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,687 Reaction score 193,678 Dec 6, 2020 #8 Kuna mambo yanafurahisha sana... Cc: mahondaw
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,076 Reaction score 75,427 Dec 6, 2020 #9 Anajipanga anataka kupindua meza kibabe