mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Sasa hivi kila utakapozunguka maji yanauzwa, haya maji yanamhusu nani? Maji (H2O) ni resource nchini tunatumia Watanzania, lakini makampuni mengi sasa yanalipa kodi kwa nani?
Wizara ya maji inalijua jipu hili.
Wizara ya maji inalijua jipu hili.