Maji ya Kandoro Kama Kawa Dar

Ulitaka nini sasa yasiweopo au
Hii kitu ilishapigwa marufuku na aliyekua mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Abas Kandoro enzi hizi ndiyo wakazi wa dar na viunga vyake wakayabatiza jina lake "MAJI YA KANDORO"!!
 
haya maji yanatusaidia sana wanyonge maana 100 tu uko byeee!! maana kwa serikali hii ya magu uhai,maisha n.k tuwaachie wenye mahela
 
Mbona haya maji bado yapo sana mitaani dar, ila ni kwa dar nahisi tu, mikoani sijawahi kuona haya maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…