Mkwele_ Senior Member Joined Oct 8, 2016 Posts 100 Reaction score 125 Mar 3, 2021 #41 MIGUGO said: Maji ya bomba kwa sisi wakazi wa Tabata, Kimara na Ubungo tunapata maji yaliyo na rangi ya udongo. Hili tatizo nimeliona kwa zaidi ya miezi sita sasa. Wakati mwingine ukiyahifadhi uchafu unajitenga chini. Hii ni hatari. Click to expand... Ni tatizo la kawaida, sediments accumulation in either tank/reservoir or improper planning of pipe network cleaning an flushing. Wasiliana na jamaa wa customer care maoni yako yanaweza kusaidia kuona ukubwa wa tatizo lililopo na kulitatua.
MIGUGO said: Maji ya bomba kwa sisi wakazi wa Tabata, Kimara na Ubungo tunapata maji yaliyo na rangi ya udongo. Hili tatizo nimeliona kwa zaidi ya miezi sita sasa. Wakati mwingine ukiyahifadhi uchafu unajitenga chini. Hii ni hatari. Click to expand... Ni tatizo la kawaida, sediments accumulation in either tank/reservoir or improper planning of pipe network cleaning an flushing. Wasiliana na jamaa wa customer care maoni yako yanaweza kusaidia kuona ukubwa wa tatizo lililopo na kulitatua.